TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, May 19, 2013

Sensei Rumadha Fundi kala Nondozzzzz! nchini Marekani

2:04 PM
KUTOKA USWAHILINI ADI UGHAIBUNI 

Sensei Rumadha Fundi ,kachukua Degree "Associate in Applied Science Cardiopulmonary Respiratory Care"

Sensei Rumadha Fundi ajiongezea taaluma kutoa Usensei wa Karate na Mwalimu wa Yoda na sasa  mtaalamu wa tiba za binadamu upande wa mapafu !

Si  mwingine bali yule mtanzania mtaalamu wa michezo ya Karate na Yoga
Sensei Rumadha Fundi (3rd Dan,Black Belt ) mwenye maskani yake kule 
marekani . 
juzi 17 Mai 2013 Sensei Rumadha Fundi akishangiliwa na kupongezwa na 
ndugu na marafiki waliomshuhudia akipokea Degree "Associate in Applied Science Cardiopulmonary Respiratory Care" "Collin College, McKinney, Texas, USA.
Sensei Rumadha Fundi
anongezea C.V yake kwa kula nondo ya utaalamu wa tiba za mapafu na moyo,Sensei Rumadha sasa amekuwa mtaalam
Respiratory Therapist: Mtaalam wa hewa na gas ya kupumua anaye tibu mapafu na moyo chini ya maelekezo ya mganga wa mapafu"pulmonalogist. Pia, Respiratory therapist anamajukumu mengi kama kuwatibu wagonjwa wa pumu,COPD,Ephysema,Asthma,TB na majonjwa yote yanayohusu mapafu na moyo.

Pia,anauwezo wa kutafsiri damu baada ya kupima hali yamgonjwa kama ana oxygen ya gas inahitaji tiba yeyote.


Kwa mengi zaidi  kuhusiana na utaalam wa Respiratory Therapist fuata Link ile ipo mwisho wa "Who is Respiratory Therapist? http://en.wikipedia.org/wiki/Respiratory_therapy


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA