Ndugu zangu,
Kufuatia vurugu za vijana na polisi, zinazoendelea kwenye viunga vya Stockholm, Sweden, juzi hapa nilisimulia ushiriki wangu kwenye Kamati ya Kitaifa ya watu 12 nchini Sweden iliyoandaa rasimu iliyopelekea kuundwa kwa kituo cha kwanza cha kitaifa dhidi ya ubaguzi nchini Sweden.
Ilikuwa mwaka 2003. Kazi hiyo ilipelekea wajumbe wote 12 kuandamwa na vikundi vya kibaguzi si tu katika Sweden, bali Ulaya pia. Hata hivyo, hatukukata tamaa. tuliifanya kazi hiyo hadi mwisho. Hapa chini ni moja ya taarifa za moja ya vikundi hivyo vya kibaguzi ambapo jina langu pia limeorodhoshwa...
Message 174
From: Antiracist Laponia
Subject: CETRUM MOT RASISM, CMR like a copy of fake antiracist league NMR (...like a kind
CETRUM MOT RASISM, CMR like a copy of fake antiracist league NMR... Soma zaidi..http://www.mjengwablog. com/habari-za-kijamii/item/ 2897-kupinga-kwangu-ubaguzi- kulinifanya-niandamwe-na- vikundi-vya-kibaguzi-ulaya. html#.UZ_O3Mrwnqo
Kufuatia vurugu za vijana na polisi, zinazoendelea kwenye viunga vya Stockholm, Sweden, juzi hapa nilisimulia ushiriki wangu kwenye Kamati ya Kitaifa ya watu 12 nchini Sweden iliyoandaa rasimu iliyopelekea kuundwa kwa kituo cha kwanza cha kitaifa dhidi ya ubaguzi nchini Sweden.
Ilikuwa mwaka 2003. Kazi hiyo ilipelekea wajumbe wote 12 kuandamwa na vikundi vya kibaguzi si tu katika Sweden, bali Ulaya pia. Hata hivyo, hatukukata tamaa. tuliifanya kazi hiyo hadi mwisho. Hapa chini ni moja ya taarifa za moja ya vikundi hivyo vya kibaguzi ambapo jina langu pia limeorodhoshwa...
Message 174
From: Antiracist Laponia
Subject: CETRUM MOT RASISM, CMR like a copy of fake antiracist league NMR (...like a kind
CETRUM MOT RASISM, CMR like a copy of fake antiracist league NMR... Soma zaidi..http://www.mjengwablog.
0 comments:
Post a Comment