TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, May 17, 2013

KUCHEKA NI AFYA JAMANI! LAKINI KILA AONYESHAE MENO ANACHEKA???

10:37 AM
KUCHEKA NI AFYA  JAMANI! LAKINI KILA AONYESHAE MENO ANACHEKA???

Kuna vicheko vingine eh? 

Wataalamu wa mambo ya afya wanasema kucheka ni afya! sijui kama kweli au lah?
Nchini india kuna  vilabu vya kufanya mazoezi ya kucheka,pia katika  nchi nyingi kuna  wasanii wachekeshaji (Comedy)wanaofanya vituko kuwawezesha wanadamu wengine wacheke,inamaana kucheka ni tiba ya kuondoa fikira mbaya katika nafsi au? na wasanii wetu wa vichekesho nao ni madaktari.

 Lakini tunajiuliza hivi kila anaeonyesha meno anacheka au? kama kamanda Ras Makunja wetu (pichani) juzi juzi alikua studio kupika nyimbo akafumwa akicheka sana sana kiasi ya watu waliokuapo pale walikua wakijiuliza hivi kicheko cha kamanda meno nje! ni kicheko kweli au ? tukae mkao wa kula kusikia ujio wa vitu vipya kwa siku za usoni.
lakini acha tuendelee kupata raha za wikiendi at ffu camp www.ngoma-africa.com auhttp://www.ngoma-africa.com

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA