TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, March 11, 2012

JANET SOSTENES AFUNIKA WAKATI WA UZINDUZI WA KIPINDI CHAKE CHA ‘ONGEA NA JANET’.

1:35 PM
Isack Gamba wa ITV/ Radio One akibadilishana mawazo na Mr. Donald Talawa. 
Pichani Juu na Chini wageni waalikwa wakiangalia Kipindi cha Ongea na Janet ikionyeshwa kwa wadau kwa mara ya kwanza.

Sehemu maalum iliyoandaliwa na kupambwa na Red Carpet kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa kipindi kipya cha Ongea na Janet uliofanyika Chichi Hoteli Kinondoni jijini Dar es Salaam. Kipindi hiki kitakuwa kikirushwa na Clouds TV kila siku ya Jumatatu Saa tatu kamili.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA