Kikosi cha Zimamoto na polisi wwakizima moto katika bweni la wasichana chuo cha Mkwawa mchana huu Chumba cha wasichana katika chuo cha mkwawa kikiwaka motoHivi ndivyo moto ulivyoteketeza vyumba viwili katika bweni la wasichana chuo cha Mkwawa Hapa ndipo moto ulipoanzia katika bweni hilo BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment