TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, January 23, 2012

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu Ashiriki Matembezi Ya Hisani Ya Saidia Mama Mjamzito Ajifungue Salama

7:54 PM

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu  (katikati) akimpongeza mama aliyejifungua salama alipotembelea wodi ya Mama wajawazito  katika hospitali ya Manispaa ya Temeke kabla ya kuongoza matembezi ya hisani ya  Saidia Mama Mjamzito Ajifungue Salama yaliyoandaliwa na Taasisi ya Madaktari wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania  (THPI) ambayo yalianzia katika Hospitali ya Manisipaa ya Temeke hadi katika Ofisi za Manisipaa ya Tameke,janajijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk. Mary Nagu  (katikati) akiongoza matembezi ya hisani ya Saidia Mama Mjamzito Ajifungue Salama yaliyoandaliwa na Taasisi ya Madaktari wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania  (THPI) ambayo yalianzia katika Hospitali ya Manisipaa ya Temeke hadi katika Ofisi za Manisipaa ya Tameke,jana jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa matembezi ya hisani ya  Saidia Mama Mjamzito Ajifungue Salama wakielekea  katika Ofisi za Manisipaa ya Temeke,jana jijini Dar es Salaam.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA