
Rais Jakaya Kikwete akiweka sahihi kitabu cha maombolezo
Rais
Jakaya Kikwete Akimpa pole mjane wa Marehemu Jeremia Sumary, Mbunge wa
Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha wa wa zamani aliyefariki leo asubuhi
jijini Dar es salaam. Hapa ni nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach, Dar es
salaam jioni hii(jana)
Rais Jakaya Kikwete akitoa pole kwa wafiwa

Rais
Jakaya Kikwete akiongea na ndugu wa marehemu pamoja na Spika Anne
Makinda na Mbunge wa Loliondo Mh Edward Lowassa ambaye ni mzazi wa binti
aliyeolewa na mtoto wa marehemu Sumar.
Picha na IKULU.


1 comments:
Jamani waandishi hebu kuweni makini mnapotuhabarisha maana hata kichaa anatambua kwamba lowasa si mbunge wa Loliondo bali ni mbunge wa Monduli
Post a Comment