TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, October 19, 2011

RAIS JAKAYA KIKWETE amaliza ziara yake mkoani rukwa na kurejea leo jijini dar.

5:04 PM


Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mtapenda cha Majimoto wilayani Mpanda kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kabla ya kuondoka kurejea Dar es salaam October 18, 2011. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na watatu kulia ni mkuu wa mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA