TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, August 8, 2011

Washiriki Miss Tanzania Watinga Kambini

6:21 PM


Vodacom Miss Tanzania 2010, Genevieve Mpangala  (katikati mwenye miwani) akigonganisha glasi ishara ya kuwakaribisha warembo wanaowania taji la Miss Tanzania 2011 baada ya kuwasili katika kambi yao iliyopo Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach jijini Dar es Salaam jana. Baade leo warembo hawa watahamia katika Jumba la Vodacom House ambako wataweka kambi yao.
Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga waandaji wa Vodacom Miss Tanzania akizungumza baada ya kuwasili kwa warembo hao. Wengine ni wadhamini wa Shindano hilo.
 Katika picha ya pamoja na washiriki wote.
 Warembo wakiwa Kambini hapo.
Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania, George Rwehumbiza (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga waandaji wa Vodacom Miss Tanzania wakizungumza na warembo wanaowania taji la Miss Tanzania 2011, baada ya kuwasili katika kambi yao iliyopo Hotel ya Giraffe Ocean View Mbezi Beach jijini Dar es Salaam jana.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA