Baraza
Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA Mkoa wa Dar es Salaam August
26,2011 imetoa taarifa ya kuwaalika waislam wa mkoa wa Dar es Salaam
kujitokeza kwa wingi katika swala ya IDD- El- FITR inayotarajiwa
kuswaliwa siku ya Jumanne 30 Aug au Jumatano 31 Aug,2011 kutegemea na
Muaandamo wa mwezi katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es
Salaam.Pichani Skeikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Alhadi Salum
akitoa taarifa hiyo mbele ya waandishi wa habari alipokutana nao leo,
(kulia) ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mkoa Dar es Salaam (BAKWATA)
Sheikh Said Ponda na (kushoto ) Mjumbe wa Baraza la Masheikh Mkoa wa
Dar es Salaam Sheikh Shukuru Kilakala. (Picha na Mwanakombo
Jumaa-MAELEZO),
0 comments:
Post a Comment