Mdau
Phillip Syplian na mai waifu wake Bi. Usu wakila kiapo cha ndoa yao
takatifu iliyofanyika mwishoni mwa wiki,jijini Dar huku kushoto na
kulia wakiwa ni wapambe wao wakishuhudia tukio hilo.
Mfanyakazi wa TBC,Phillip akiwa katika pozi la picha na Mkewe Usu mara baada ya kufunga pingu za maisha hapo jana.
1 comments:
hongera usu kwa kupiga hatua kubwa katika maisha
mungu awajaalie muishi kwa amani.
Sweddy Didi mohamed
Post a Comment