TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg

Habari Mpya:
Monday, August 29, 2011

KIWANDA CHA SUKARI CHA TPC,MCC na CCBRT watoa huduma ya afya bure,Moshi

2:35 PM

Mmoja wa madaktari wa shirika la MCC akitoa huduma ya afya kwa mmoja wa watoto waliofika katika kituo cha afya cha mtakuja kwa ajili ya matibabu.
Mratibu wa mradi wa huduma za afya kijijini humo,Bw Gerbert Ricks akizungumza na wanahabari (hawako pichani)kushoto kwake ni Bi Iris van de Gevel,mratibu kutoka shirika la MCC.
Baadhi ya watoto wengine wakiwa wamesindikizwa na wazazi wao,wakijiandikisha kwa ajili ya kupatiwa huduma ya afya iliyotolewa na shirika la huduma kwa watoto la Uholanzi(MCC) likishirikiana na kwanda cha sukari cha TPC na kituo cha huduma za walemavu cha CCBRT.

Kaimu afisa mtendaji utawala wa TPC,David Shilatu akizungumza na wanahabari juu ya huduma ya afya iliyotolewa na shirika la huduma kwa watoto la Uholanzi(MCC) likishirikiana na kiwanda cha sukari cha TPC
na kituo cha huduma za walemavu cha CCBRT.
Mtaalamu wa magonjwa ya meno wa hosptali ya TPC Pius Tarimo akitoa maelekezo kwa mmoja wa wagonjwa waliofika kupata matibabu katika kambi ya wiki moja ya huduma ya afya iliyotolewa na shirika la MCC wakishirikiana na kampuni ya sukari ya TPC na kituo cha huduma za walemavu cha CCBRT.BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

BONYA HAPA