
Ndugu jamaa pamoja na marafiki waliohudhuria katika kisomo pamoja na futari ilioandaliwa na jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community kenye ukumbi wa Hillandale Local Park New Hampshire Avenue,
Waumini wa jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community wakiwa katika futari
Waumini wa dini ya kiislamu kwa upande wa wanawake wakiwa katika futari ya pamoja iliyofanyika jana jumapili Aug 28,2011 Silver Sring Maryland.
Washauri wa jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community Washngton DC Bwana Jabiri Jongo Picha ya kushoto Mh Uwesu Bakar wakiwa katika dua ya kisomo cha kumuombea Marehemu Baba wa Dada yetu Jasmine Rubama, pamoja na kuwaombea jamaa zetu wote waliotangulia mbele. M/mungu awarehemu na awajaliee makazi meema peponi Amin.
Mh mgeni rashi Balozi Mwanaidi Maajar akiwa na waumini katika futari iliyoandaliwa na jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community, kwenye ukumbi wa Hillandale Local Park, New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland Nchini Marekani.
Waumini wakipata futari ilioandaliwa na jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community Washngton DC
Dada zetu waliohudhuria katika futari ya pamoja kwenye ukumbi wa Hillandale Local Park, mitaa ya New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland.
Waumini wa dini ya kiislamu kwa upande wa wanawake wakipata flash ya pamoja baada ya kumaliza futari ya pamoja iliyoandaliwa na jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community, katika ukumbi wa Hillandale Local Park New Hampshire Avenue, Silver Spring Maryland. Jana Jumapili Ramadhani ya 28, Aug 28,2011 picha zikiwa ni kama kumbukumbu ya Mwezi mtukufu wa ramadhani 2011 kutoka kwa mpiga picha wenu wa swahilivilla Editor Abou Shatry.
Aunty yetu Saadie Fuad akipata flash ya pamoja na Amina Saleh katika futari ya pamoja
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO) Mh. Iddi Sandaly akimkaribisha mgeni rasmi Mh Balozi Bi Mwanaidi Maajar
Mgeni rasmi katika futari ya pamoja akitoa hutuba fupi ya kuwa pongeza na kuwashukuru viongozi pamoja na wana Jumuiya ya kiislamu Tanzanian Muslim Community Washngton DC, na kutoa hutuba fupi ya kuhamasisha Watanzania waliokuwepo hapa Marekani kujumuika na kusheherekea miaka 50 ya Uhuru wa Nchi yetu Tanzania.
Angalia hutuba fupi iliotolewa na Mh Balozi Mwanaidi Majaar Kwenye Futari iliondaliwa na jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community Washngton DC.
0 comments:
Post a Comment