TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, August 7, 2011

Chadema Yawatimua Madiwani Wake Watano Mkoani Arusha

4:41 PM
Katibu Mkuu Wa Chadema, Dk Wilbrod Slaa

Hatimaye kwa ujasiri bila wogo wala kulindana, kamati kuu ya Chadema imewatimu madiwani wake watano mkoani Arusha ambao walikiuka maagizo ya chama na kuingia muafaka kinyemela na CCM kisha wakapewa vyeo vya unaibu Meya na kamati mbili za kudumu. Hongera CHADEMA hayo ndiyo maamuzi ya kweli kwa maana nyia mliandamana Arusha kupinga mfumo potofu uliyomuweka Meya madarakani na si kupewa cheo cha unaibu Meya na kamati, Bila shaka wakazi wa Arusha watawaelewa na kuwapa tena viti hivyo.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA