TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, August 26, 2011

AIRTEL YAFUTURISHA BAADHI YA WATEJA WAKE JIJINI DAR

11:11 PM


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Sam Elangalloor akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam jana.
Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Sam Elangalloor (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wa kampuni hiyo katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel  kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam jana.
Meneja Mauzo wa Airtel Kitengo cha Wateja wa Makampuni, Babra Arnest (kushoto) akishikana mikono na mmoja wa wateja wa kampuni hiyo ambaye pia ni mbunifu mashuhuri wa mavazi nchini, Mustafa Hassanali katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel  kwa wateja wake wa makampuni katika Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam juzi. Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando.
Baadhi ya wateja wa makampuni wa kampuni ya Airtel wakichukua futari  katika hafla iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika  Hoteli ya Golden Tulip, Dar es Salaam janakwa.kwa hisani ya mtaa kwa mtaa blog

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA