mkurugezi
wa taasisi ya THE FADHAGET DEVELOPMENT HOPE wanahousika na kusaidia
jamii,kutunza mazingira, kupiga vita madawa ya kulevya, migogoro ya mke
na mume, umasikini na njaa,Dr. Fadhili Emily (kulia) akikabidhi seti ya
jezi la mipira kwa Mkurugenzi na Mlezi wa ACOT SPORTS CLUB ya Mtoni kwa
Azizi Ally,Emmanuel Mwampishi kwa ajili ya kujiendeleza kimichezo kwa
timu hiyo.
Baadhi
ya Wachezaji wa timu ya ACOT SPORTS CLUB wakiwa wamevalia jezi hizo na
kushika mpira waliokabidhiwa na taasisi ya THE FADHAGET DEVELOPMENT
HOPE.KWA HISANI YA MTAA KWA MTAA BLOG.


0 comments:
Post a Comment