TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, July 23, 2011

Rais Kikwete Dar Es Salaam Leo

12:30 AM


Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali baba yake mdogo ndugu Said Rashid, aliyelazwa wodi namba moja Mwaisela katika hospitali ya taifa Muhimbili tarehe 22.7.2011.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa madhehebu ya Kikristo Tanzania baada ya kikao chao kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee mjini Dar es Salaam 22.7.2011.
Rais Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Waziri wa Afya na Huduma ya watu wa Marekani, Kathleen Sebelius Ikulu ya Dar es Salaam 22.7.2011

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA