TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, July 20, 2011

3:20 PM
mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa blog yenu hii
kuna kijana ambaye ni ndugu wa staff mwenzangu amepotea tangu juzi,
kwa kuwa watu wengi sasa wanafuatilia na kuangalia blog naamini kwa kutoa tangazo kwenye blog yako inaweza kusaidia kumpata
naomba uniwekee hili tangazo kwenye blog yako na kama una mawasiliano na blog nyingine yoyote uliyo nayo tafadhali na mungu akubariki
 
ahsante sana


 Tumaini Kichila <kichila_ts@yahoo.co.uk

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA