TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, July 20, 2011

Mafunzo ya walimu wa awali yaliyotolewa na kampuni ya uchapishaji wavitabu nchini ya Long man

10:24 PM
Muwezeshaji wa Kampuni ya Pearson Long Man Tanzania inayojihusisha na uchapaji wa Vitabu vya shule za awali na vyuo nchini, Maria Ellokelo,akitaoa mafunzo kwa walimu waliohudhria mafunzo ya siku tatu ya uwezeshaji wa shule za awali jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya uwezeshaji wa Walimu wa shule za awali katika shule za Msingi jijini Dar es Salaam,wakijadiliana katika mafunzo hayo yaliyotolewa na Kampuni ya kuchapisha vitabu nchini ya Pearson Long Man.Jumla ya Walimu 90 wanapata mafunzo hayo.

Mwalimu wa Shule ya Msingi ya Upendp iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam wapili (kulia) akijibu swali wakati wa mafunzo ya uwezeshaji wa Walimu ,kutoka kwa Muwezeshaji wa Kampuni ya Pearson Long Man Tanzania inayojihusisha na uchapaji wa Vitabu vya shule za awali na vyuo nchini, Maria Ellokelo, ali yeshika karatasi kushoto ni Ofisa Mauzo wa Long Man Salama Hamza na Mwalimu wa Shule ya Mkamba ya Temeke Jayneth Gideon.click here

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA