TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, July 21, 2011

AIRTEL YATOA MSAADA WA MADAWATI

5:55 PM


Airtel yaendelea na kampeni ya AIRTEL SHULE YETU, yatoa madawati 50 kwa shule ya Kangaye, kutoka kulia ni Meneja wa huduma kwa jamii Airtel Tunu Kavishe akiwa na Meneja wa Kanda ya Ziwa Airtel Ally Maswanya wakikabidhi  madawati kwa mkuu wa shule Kangaye Bi Josephine Mlundwa na mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Fweka Ndawala wapili kushoto. Waliohudhuria  hafla fupi ya makabidhiano shuleni hapo ni  mgeni Rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Francis Mkabengwa (watatu toka kushoto) na
Airtel shule yetu!!!!! kutoka kulia ni Meneja  huduma kwa jamii Airtel Tunu Kavishe akiwa na Meneja wa Kanda ya Ziwa Airtel Ally Maswanya (watatu) wakifurahia na wanafunzi mara baada ya hafla fupi ya makabidhiano ya  madawati 50  kwa mkuu wa shule Kangaye Bi Josephine Mlundwa (kati). Airtel ilikabidhi madawati 50 kwa shule ya Kangaye yenye thamani ya shilingi milioni tatu na laki nane.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA