Rais
Jakya Kikwete akimuongoza Waziri Mkuu wa India, Dk. Manmohan Singh muda
mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere. Kushoto ni mke wa Dk. Singh, Gursharan Kaur, na katikati ni Mke
wa Rais Kikwete, Mama Salma Kikwete.
0 comments:
Post a Comment