Baadhi ya wafanyakazi wa TBL, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo jijini Joburg, Afrioka Kusini.
Its
Nick Fell, Global Marketing Director, David Minja Marketing Director
TBL and Mark Bowman Managing Director SABMiller Africa in the Marketing,
Sales and Distribution Annual Conference in J’berg South Africa.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania, wakifurahia tuzo hizo,
wakati wa hafla ya kutoa tuzo iliyofanyika Jahannesburg Afrika Kusini
hivi karibuni.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Minja (kulia)
akionesha kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo,baadhi ya tuzo
ambazo kampuni hiyo ilipata ilipata nchini Afrika Kusini, baada ya
kuibuka washindi wa mauzo, masoko na usambazaji kwa kampuni 16 za
SABMiller Afrika.Kushoto ni Meneja Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini,
Reginald Mosha.
Maofisa
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiwa na tuzo mbalimbali ambazo
kampuni hiyo ilipata nchini Afrika Kusini hivi karibuni, baada ya
kuibuka washindi wa mauzo, masoko na usambazaji kwa kampuni 16 za
SABMiller Afrika.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Rasilimali
Watu, Steve Kilindo,Meneja Usambazaji Kanda ya Kusini, Reginald Mosha,
Mkurugenzi wa Masoko, David Minja na Meneja Miradi Maalum, Emma Oriyo.





0 comments:
Post a Comment