TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, May 21, 2011

Mercy David Ligate ala NONDOZZZ Bowie State University .

7:57 AM
Mercy David Ligate akionekana mwenye furaha huku akiwa na shahada yake mkononi ya Master of Business Administration ndani ya Bowie State University Spring 2011 Commencement, mapema leo hii ijumaa Mei,20.2011 @ Maryland Nchini Marekani.

Mercy akiwa katika mstari wa kuingia katika kiwanja maalumu walichopangiwa ndani ya Bowie State University graduation leo ijumaa Mei,2011, BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA