TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, May 21, 2011

Mary Chatanda Agoma Kujiuzulu

7:34 AM
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha Mary Chatanda (pichani) ambaye pia ni mbunge wa viti maalumu amegoma kujiuzulu licha ya kutakiwa kufanya hivyo na umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) mkoa  wa Arusha.   Akizungumza na mwandishi wa TBC mkoani Arusha Mary Chatanda amesema hatojiuzulu kwa shinikizo la vijana kwani vijana wanaotaka aziuzulu wana sababu zao binafsi na hawajua kanuni za chama. Ameongeza kusema kuwa yeye amechaguliwa na,mkutano mkuu wa CCM hivyo hawezi kujiuzulu kwa majungu ya UVCCM: (Chanzo:TBC Taifa)

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA