Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akifunua kitambaa ikiwa ni ishara ya kuweka jiwe
la msingi katika , Shule ya Msingi Simai iliyopo Kijiji cha Wingwi
Mapofu, Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati akiwa kwenye
Ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo katika Miikoa ya Kusini na
Kaskazini Pemba leo Mei 17.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib
Bilal, akikagua jengo la ofisi ya CCM ya Tawi la Majenzi iliyopo
Kijiji cha Kusale, Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati
akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo mikoa ya Kusini na
Kaskazini Pemba leo Mei 17.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal,
akipunga mkono kuwaaga wanafunzi wa Shule ya Msingi Simai iliyopo
Kijiji cha Wingwi Mapofu, Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba,
baada ya kuweka jiwe la msingi katika shule hiyo wakati akiwa katika
ziara ya kukagua miradi ya maendeleo kwenye mikoa ya Kusini na
Kaskazini Pemba leo Mei 17.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Simai, iliyopo Kijiji cha
Wingwi Mapofu, Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwa
katika hafla ya kumpokea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, alipofika shuleni hapo leo Mei 17
kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi, wakati akiwa katika ziara ya
kukagua miradi ya maendeleo mikoa ya Kusini na Kaskazini pemba.
Baadhi ya wanachama wa CCM na Wananchi wakimsikiliza Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, wakati
alipokuwa akiwahutubia alipowatembelea akiwa katika ziara ya kukagua
miradi ya maendeleo katika mikoa ya Kaskizini na Kusini Pemba, leo Mei
17. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
0 comments:
Post a Comment