TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, April 28, 2011

Ujumbe wa wizara ya kazi uwezeshaji wananchi kiuchumi wakutana na rais dr shein ikulu zanzibar

10:04 AM


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyakazi Zanzibar,(ZATUC),ukiongozwa na Bwana Khamis Mwinyi Mohamed, pamoja na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika,ukiongozwa na Waziri Mhe,Haroun Ali Suleiman,(kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kwa mazungunzo na Rais,leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyakazi Zanzibar, (ZATUC),Bwana Khamis Mwinyi Mohamed,pamoja na ujumbe wake na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, ukiongozwa na Waziri Mhe,Haroun Ali Suleiman,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kwa mazungunzo na Rais,leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu,Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA