
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Pamoja na Ujumbe wake wakiangalia
MIchungwa Iliyoteshwa kwa utaalamu maalum,ikiwa tayari inatoa
machungwa kwa muda wa miezi miwili,katika kituo cha utafiti wa kilimo
cha Batem,Mjini Antaliya nchini uturuki kwa katika ziara ya Mualiko wa
Serikali ya Nchi hiyo.,(kushoto) ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Batem Dr
Suat Yilmaz.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akipata maelezo na MKurugenzi Dr Suat
Yilmaz,wa Taasisi ya Batem,wakati alipotembelea kituo cha utafiti wa
mazao ya kilimo ,katika mji wa Antaliya nchini Uturuki leo,alioangalia
badhi ya tafiti mbali mbali za mazao katika kituo hicho.
Picha na Ramadhan Othman Uturuki.
0 comments:
Post a Comment