| Karibu Holidays booth under construction at Diamond Jubilee Hall.. |
| Mapambo ya Harusi na sherehe yakiwasilishwa katika mabanda tayari kwa kuanza maonyesho ya HARUSI 2011 kesho tarehe 1-3 April ndani ya ukumbi wa DIAMOND JUBILEE |
| Washiriki wa maonyesho ya HARUSI 2011 wakipanga na kupamba banda lao ndani ya ukumbi wa DIAMOND JUBILEE. |
Maandalizi motomoto ya Maonyesho harusi kwa mwaka
2011 yanaendelea mchana huu ndani ya ukumbi wa Diamond , huku washiriki
wakimiminika ukumbini hapo ili kuhakikisha mabanda yao, na kila kitu kiko
sawa.
Hatua za mwisho za maandalizi ya ukumbi huo uliopambwa
kwa mabanda ya rangi nyeupe na mazulia mazuri ya kibuluu, inaufanya ukumbi huo
kung'aa na kuuweka tayari kwa maonyesho hayo yanayoanza kesho tarehe 1 hadi 3
mwezi April.
Haya
ni maonyesho ya aina yake, yanayochukua sura ya kimataifa huku yakitarajiwa
kutembelewa na viongozi mbalimbali toka serikalini na sekta binafsi.
Kwa
kweli si maonyesho ya kukosa kwa wadau na wale wote wanaotarajia kufunga ndoa
hivi karibuni.
Baadhi ya washiriki wa maonyesho wa mwaka huu ni: Lotus
Creative Concepts, Nadd House Events Hire,
Zanzibar Weddings, Fannina Investments, Endepha Events Planners,Luxe
Papers, Paper Designs, Vayle Springs, Upper Zonal Trading, River Blues Tanzania
Ltd, MH Gallery,Kinara Mobile Studio, Dar City, Slice of Wedding,Markham
Executive Suites,The Flying Chefs, Mustafa Hassanali Wedding, Malaika Event
Designs & Rentals, GRM Production, Bluecheriemoe, DIA’s, Metro Fashion, Rose
Fashion Designer, TANZANIA HAIR INDUSTRY, NORBROS Collection, Manju Msitta,
Caros Cakes& Hot Brades, Moevenpick Royal Palm Hotel, Sheer Illusion and
Daily News, nk.
Maonyesho ya Harusi kwa mwaka huu yamedhaminiwa na Clouds
FM, Daily News, Habari Leo, Global Outdoor Systems,
Image Masters, Ultimate Security, Vayle Springs, Eventlites na 361
degrees
0 comments:
Post a Comment