TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Sunday, August 8, 2010

Redd's Fashion Party mswano

10:16 PM

Warembo wa Ilala,Temeke na Kinondoni wakiwa wameshikilia tuzo zao mara baada ya kukabidhiwa na wadhamini wao katika hafla ya kuwapongeza walimbwende hao ambao wanaingia katika kambi ya Miss Tanzania hivi karibuni.
Meneja wa kilaji cha Redd's Original ,Kabula Nshimo akimkabidhi tuzo Miss Ilala 2010,Bahati Chande katika hafla ya kuwapongeza warembo hao iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika hotel ya Movenpic jijini Dar.
Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro,George Kavishe akimpa tuzo Miss Temeke,Geneviva EmmanuelMeneja Mawasiliano wa TBL,Edith Mushi (kulia) akimpa tuzo Miss Kinondoni 2010,Alice Lushiku katika hafla ya kuwapongeza warembo hao wanaojiunga na kambi ya Miss Tz hivi karibuni iliyoandalia na TBL kupitia kilaji chake cha Redd's Original ambacho ni kinywaji rasmi cha Vodacom Miss Tanzania katika hotel ya Movenpic usiku wa kuamkia leo.kati ni Miss Temeke,Geneviva Emmanuel
Wadau wa Frontline Management limited ,Nancy Sumari (shoto) na Irene Kiwia wakishoo love.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA