Juu na chini: Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashililah akipokea msaada wa Komputa 18 zenye thamani ya zaidi ya million 20 toka kwa Balozi wa Korea Kusini nchini Mhe. Young – Hoon Kim. Komputa hizo zimetolewa na Ubolozi huo nchini kusaidia matumizi mbalimbali kwa waheshimiwa na watumishi wa Ofisi ya Bunge. Picha na Owen Mwandumbya wa BungeBalozi wa Korea Kusini nchini Mhe. Young – Hoon Kim akimweleza katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashililah namna nchi hiyo inavyokusudia kusaidia Bunge la Tanzania katika maswala ya Teknolojia ya mawasiliano mara baada ya kukabidhi msaada wa Komputa 18 zenye thamani ya zaidi ya million 20 katika Ofisi ndogo ya Bunge Dar es salaam jana. Waliosimama toka kulia ni Mkurugenzi wa Mipango na ICT wa Bunge ndg. Siegfied Kuwite na Msaidi wa Katibu wa Bunge Emanuel Mpanda. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
0 comments:
Post a Comment