Kaimu Kamishna Mama Wasena amempongeza mtoto huyo na kumpa sifa nyingi lakini pia amesifu kwa kuwa ameiletea sifa Tanzania na Wizara ya Elimu kwa ujumla jambo ambalo lilithibitishwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mh. Mwatumu Mahiza ambaye alimpongeza mtoto huyo wakati alipokuwa kiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka huu wa fedha. Picha na John Bukuku
Saturday, July 24, 2010
1 comments:
Watu wenye akili za ziada sura zao za kipolekipole. Mpe hongera zake!
Post a Comment