TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, June 29, 2010

NIC ndani ya maonyesho ya saba saba

10:40 PM

Meneja uhusiano na mawasiliano wa NIC,Mwanaid Shemweta (kulia) akijadiliana jambo na maafisa waandamizi wa bima ya maisha,Immaculate Maro (kati) na Ndina Nsaji (kushoto) katika banda lao la Bima lililopo ndani ya viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere,kilwa road jijini Dar
Meneja wa NIC anaeshughulikia maswala yote ya Bima kasoro ya Magari,Ntimba Bunny akiwaeleza wateja waliofika katika banda lao la Bima lilipo ndani ya viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere,kilwa road jijini Dar

wadau wa NIC wakiwa katika picha ya pamoja, toka kushoto ni Henry Machoke (Meneja Masoko),Mwanaid Shemweta (Meneja Uhusiano na Mawasiliano),Adelaida Muganyizi (Afisa Masoko),Mary Kyomo (Meneja Mipango na Uwekezaji) wakiwa ndani ya banda lao la Bima lilipo ndani ya viwanja vya maonyesho ya biashara vya Mwalimu J.K. Nyerere,kilwa road jijini Dar

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA