Askari walipofanikiwa kumtoa FRANK juu ya nguzo hizo
FRANK akiwa juu ya NGUZO ya umeme maeneo ya UBUNGO
FRANK akiwa kwenye nguzo ya umeme askari wakiwa wanataka kumumtoa
Askari wakiwa katika harakati za kumuokoa.
Ilikuwa majira ya saa nne asubuhi ambapo kijana FRANK aliparamia kazi ya fundi umeme na kukwea moja ya nguzo mpya za umeme iliyoko karibu na UBUNGO MATAA na kusababisha taharuki kwa wakazi wa maeneo hayo huku wengi wao wakisitisha shughuli za kawadida .
Baada ya muda askari wakafika na winchi kumtoa kijana huyo na kuelekea naye polisi kwa mahojiano zaidi.
Picha na MARTINA NGULUMBU WA TBC




1 comments:
Thats hw its started. I can see where we are going now. if u push people over a limit, they will have NOTHING TO LOSE. if you find a big group of oppressed like that, things will change in a real sense. not the nonsense which is going on now.
Post a Comment