TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, June 15, 2010

DIAMOND ALIVYOUZA SENEGAL

11:22 PM



Diamond akiwa na wadau wengine wa Malaria waliokutana nchini Senegal

Ruge,akiwa na balozi wa malaria toka marekani, Diamond.

Mbagala hamna vitanda kama hivi....Diamond.

Diamond yuko na mtukutu wa soka kutoka Senegal,Elhaj Diof kabla ya kupanda jukwaani kutumbuiza, kwenye kampeni za kupiga vita ugonjwa wa Malaria kama balozi wa ugonjwa huo nchini. ...lakini ulimwambia kama kina Kaka na robinho walikuja Bongo tunakawachunia tu".

Hapa ni baada ya kupanda Jukwaani, Diamond akiwa na mkali wa ngoma za kiafrica, mkongwe Youssou N'Dour.

Diof akimshangilia Diamond wa mbagala baada ya kumsuuza vilivyo na ngoma yake kamwambie inayotamba sana huko Dakar Senegal.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA