FFU na Karandinga la mziki
Gwaride la Ngoma Africa band kuvamia Afrika Festival -Tübingen,Ujerumani Bendi maaru ya mziki wa dansi barani ulaya "The Ngoma Africa Band" aka FFU!
wanatarajiwa kutumbuiza katika onesho la "Afrika Festival" Tübingen City,uko ujerumani
wanatarajiwa kutumbuiza katika onesho la "Afrika Festival" Tübingen City,uko ujerumani
siku ya jumamosi ya 5-06-2010katika eneo la Festplatz Europa str.bendi hiyo yenye tabia ya kuwadatisha hakili washabiki wa mziki
kwa kutumia mdundo wao,watapanda jukwaani majira ya saa 11 jioni na kutumbuiza hadi hasubui.kwa sasa
wanatamba na singo CD yao "Jakaya Kikwete 2010"
wadau wa Tübingen City na miji jirani kaeni mkao wa kula.....
wasikilize at www.myspace.com/thengomaafrica
unaweza kujumuika nao at www.facebook.com/ngomaafrica
0 comments:
Post a Comment