TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, April 30, 2010

MASHINDANO YA MCHEZO WA POOL KWA VYUO VIKUU KUANZA MEI 14 HADI 16 MWAKA HUU JIJINI DSM

7:37 PM


Naibu waziri wa michezo wa chuo kikuu cha DSM KAYUMBA TOROKOKO kulia na meneja wa bia ya safari FIMBO BUTALLAH .

BUTALLAH amesema mashindano hayo yatashirikisha vyuo vikuu kumi na vyuo vya kati kumi ambapo jumla ni vyuo ishirini kutoka jijini DSM

Amesema mashindano hayo yatafanyika katika fukwe za coco beach ambapo naibu waziri wa habari utamaduni na michezo JOEL BENDERA atafunga mashindano hayo.

Bingwa katika mashindano hayo atajinyakulia milioni moja na mshindi wa pili laki sita wakati mshindi wa tatu laki nne huku washindi wa mmoja mmoja bingwa atajinyakulia shilingi laki mbili ,wa pili laki moja na nusu ,wa tatu laki moja na mchezaji bora wa kike na kiume watajinyakulia shilingi

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA