TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, March 2, 2010

Waafrika watashuhudia kombe la dunia

4:38 PM

Zikiwa zimesalia siku mia moja kabla ya michuano ya kombe la dunia kuanza nchini Afrika kusini, katibu mkuu wa shirikisho la soka duniani FIFA, amesema ana matumaini mashabiki wa kiafrika wataweza kupata tiketi za kuona mechi hizo.

Hii ni kufuatia shutuma kwamba tiketi hizo ni ghali mno kwa watu wa kawaida.

Jerome Valcke, alikanusha madai kuwa mashabiki wengi wa afrika huenda wakanyimwa fursa ya kushiriki michuano hiyo inayoandaliwa barani afrika.


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA