TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, February 23, 2010

Wanakriketi Australia wahofia usalama India

9:46 PM



Wachezaji maarufu wa mchezo wa cricket nchini Australia watawasilisha orodha ya madai ya usalama kwa waandalizi wa maandalizi ya ligi kuu ya mchezo huo nchini India, kufuatia hofu yao kuhusu maandalizi ya ligi hiyo.

Timu ya Wachezaji hao maarufu bado haijaamua ikiwa watakwenda India kwa mechi kutokana na tisho la mashambulizi kutoka kwa makundi ya wanamgambo wenye ngome zao Pakistan.

Baada ya mkutano na wachezaji mjini Sydney, mkuu wa chama cha wachezaji wa Cricket Paul Marsh amesema, hofu imekuwa ikielezewa baada ya ripoti kutoka kwa mtaalam wa usalama ambayo ilielezea hofu kuhusu hali ya usalama nchini India.


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA