KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE CLICK LINK HAPO CHINI
http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm
Home
»
»Unlabelled
» MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA
2:32 PM
Mshirikishe Mwezako Kupitia:
NEWS UPDATES
23 comments:
Matokeo hayafunguki
hayafunguki
Msitudanganye matokeo bado kwenye in'nent
mbona matokea hayafunguki
mbona tumeambiwa leo kwenye net yanatoka
tunaomba muweke wazi matokeo ya kidato 4 ili watoto wafanye maamuzi mapema kama ni kurudia au kuangalia njia nyikngine.
jaribu kuwahurumia watu wanao risti ili nao wajikomboe mitihani ni migumu sana.
wazinguaji bhana, matokeo bdo bhanaaa
acheni kuwapa presha watoto , matokeo bado, na yakija yatakuwa mazuri
kama vp tupeni tarehe kamili mbona mnazingua????????????
hihihihihihihi...
ACHA KUPATA PRESSURE MATOKEO YATATOKA, LA ZAIDI NI KUENDELEA KUMUOMBA MUNGU, AWAPE UVUMILIVU. ZAIDI KILA MTU ATAVUNA ALICHO PANDA.
mbona mna2rushia stimu
we are eagerly waiting for our results, when will NECTA release?
acheni uzushi
muache uongo basiiii matokeo haya funguki
tupeni matokeo
oya acheni kutusumbua kwa kuweka heading za kitu kinachosubiriwa na wengi alafu hamna kitu!!Acha ubwege...
Ahh! hii kweli ndo bongo mbona hivi jamani?
Acheni hizo bwana Presha inapanda Presha inashuka.
msituzengue lakini yakiwekwa mtujulishe
Huu ni ubabaishaji hakuna matokeo hapa
Tanzania inajivunia na matokeo mazuri ya kuapgrade,ukweli elimu ya bongo sasa ipo juu,namuona mhe wazri anafuraha sana lakini naomba sana tusiingze siasa kwenye elimu ndio maana sasa tunaupgrade matokeo ya wanafunzi.
Tanzania inajivunia na matokeo mazuri ya kuapgrade,ukweli elimu ya bongo sasa ipo juu,namuona mhe wazri anafuraha sana lakini naomba sana tusiingze siasa kwenye elimu ndio maana sasa tunaupgrade matokeo ya wanafunzi.
Post a Comment