basi la kampuni ya sumry high class likiwa limeninginia katika milima ya kitonga baada ya kugongana na magari mengine madogo mawili katika basi hakuna mtu aliyepoteza maisha ila katika gari dogo walikufa watu wawili papohapo wakazi wa eneo hilo wakiwa katika eneo la tukio na hii ni tax ambayo iligongana uso kwa uso na basi hilo na kuaribika vibaya watu wawili walipoteza maisha katika tax hii.
0 comments:
Post a Comment