Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela akilia kwa uchungu juzi baada ya kufika kijiji cha Goha kulipo tokea maporomoko na kuuwa watu 24 Wilayani Same. Anne Kilango akitembezwa katika eneo la maafa kijiji cha Goha Kitongoji cha Manka.
Anne Kilango akiomba dua ya kuwaombea Mareheme Mungu awabariki...
Msafara wa kumpokea Mbunge wao ulipokuwa ukiteremka...Viroba vya Sukari vya msaada vikishushwa.
0 comments:
Post a Comment