
Uwanja wa ubunifu na mambo ya Ujasiliamali yamezidi kupambazuka hapa mjini Mysore,Wadada wawili wamekuja kivyao na kuanzisha kitu kizuri, wadada hao ambao wameamua kutoa huduma ya Chakula chenye ladha ile ile ya Nyumbani.Tafadhali watembelee hapa..www.hotchicken65.blogspot.com hapa unaweza kupata taarifa zao,tujumuike pamoja as Mysore One'the Movement' katika kudumisha umoja.
0 comments:
Post a Comment