| |
| Mwenyekiti Kamati ya Bunge Maendeleo ya Jamii, Jennista Mhagama, (kulia) akiwaongoza wabunge wa Kamati hiyo kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba za Polisi zinazojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Wete Pemba mwishoni mwa wiki. (Picha na Yusuf Badi). |
0 comments:
Post a Comment