TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, July 17, 2009

Milipuko yazikumba hoteli Jakarta-Indonesia

4:29 PM

Watu tisa kwa uchache wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa katika milipuko ya mabomu iliyozikumba hotel mbili maarufu mjini Jarkata nchini Indonesia.

Milipuko hiyo inayosadikiwa kusababishwa na mashambulizi ya kujitoa muhanga imetokea kwa tofauti ya sekunde chache katika hoteli za Ritz-Carlton na JW Marriott ambazo zipo umbali wa takribani kilometa moja.milipuko hiyo iliyotokea saa 1:30 asubuhi kwa saa za Jarkata sawa na 9:30 alfajiri Afrika Mashariki, iliwakuta wateja wengi wa hoteli hizo wakipata kifungua kinywa.

Mlipuko mwingine uliripotiwa kutokea kaskazini mwa Jarkata muda mchache baadae,

1 comments:

chib said...

Hatari kabisa hii

Post a Comment

 
BONYA HAPA