Milipuko hiyo inayosadikiwa kusababishwa na mashambulizi ya kujitoa muhanga imetokea kwa tofauti ya sekunde chache katika hoteli za Ritz-Carlton na JW Marriott ambazo zipo umbali wa takribani kilometa moja.milipuko hiyo iliyotokea saa 1:30 asubuhi kwa saa za Jarkata sawa na 9:30 alfajiri Afrika Mashariki, iliwakuta wateja wengi wa hoteli hizo wakipata kifungua kinywa.
Mlipuko mwingine uliripotiwa kutokea kaskazini mwa Jarkata muda mchache baadae,
1 comments:
Hatari kabisa hii
Post a Comment