| Mdau DEO LYATUU akiwa amekula ndonozzz yake ya Barchelor of business management university of bangalore hongera sana |
| Deo na hartman wakipongezana |
![]() |
| baada ya kula nondozzz zao katika hali ya furaha |
![]() |
| jumla ya watanzania 49 walikula nondozz zao katika shahada mbalimbali |
![]() |
| hongereni sana ndo stage ya kwanza mapambano ndo yameanza |
![]() |
| nyuso za furaha |
![]() |
| mdau msafiri mwanzo kulia akiwa amekula nondozz yake ya Barchelor of computer application |
| Hongera sana DEO na MIRABEL |
| VILLAN MUHAGAMA amekula nondozz yake ya BSc hongera sana |








2 comments:
kaka umekuwa hadimu sana umekuwa kimya nasa funguka mkuu...nice picture...
NIPO BANA MASSAWE
Post a Comment