Friday, February 24, 2012

POLISI WANNE MBARONI KWA MAUAJI YA RAIA MKOANI RUVUMA

Mtoto Shangwe Mtaula (16) mkazi wa Mabatini akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma alikolazwa baada ya kulipukiwa na bomu la machozi wakati wa vurugu zilizotokea mjini Songea. Picha na Joyce Joliga

0 comments:

Post a Comment