TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Wednesday, February 29, 2012

EVANCE BUKUKU COMEDY ILIVYO PENDEZA NYUMBANI LOUNGE JANA


Mchekeshaji Maarufu Nchini,Evans Bukuku akikafanya vitu vyake usiku huu katika kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge,Namanga jiji Dar wakati wa Shoo yake ya kuvunja mbavu za watu (kucheka) iliyomalizika muda mfupi uliopita.

Evans Bukuku akiendele na Libeneke lake la kuchana mbavu za watu.
Evans akiigiza kama DJ.
Dogo Pepe nae kama kawaida yake,akipanda jukaani lazima mkome wenyewe kwa vituko vyake.
Evans na Mshkaji wake wakuruka nae majoka (kucheza muziki).
Enika akiimba nyimbo zake za kuchekesha.
MC Taji Liundi akiwa Libenekeni usiku huu.
Mtangazaji wa Radio Clouds FM,Adam Mchomvu a.k.a Baba John nae alipata wasaha wa kupanda jukwaani na kutoa hadithi yake ya kuchekesha.
picha na jiachie Blog

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA