Wednesday, January 25, 2012

WATOTO WAWILI WAUAWA VIBAYA JIJINI MBEYA

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nsenga jijini Mbeya wakitoka kushuhudia mwili wa mwanafunzi mwenzao wa darasa la Kwanza Silvia Isaya (5) alieuawa kisha viungo vya mwili wake kunyofolewa ulimi, jicho la upande wa kushoto, sehemu za siri na mguu wake wa kushoto kuvunjwa.BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment