Friday, January 27, 2012

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI WAANDAMANA JIJINI DAR ES SALAAM


Wanafunzi wa Shule za Msingi Ndugumbi na Mwalimu Nyerere, Magomeni,Dar es Salaam, wakiandamana leo katika Barabara ya Kawawa, kuishinikiza Wakala wa Barabara wa Serikali (TANROADS), kuweka matuta barabarani, kufuatia wenzao wawili kugongwa na magari kunakosababishwa na mwendo kasi katika eneo hilo.Picha na Hamisi Magendela

0 comments:

Post a Comment